Sera na Mkakati wa Habari, Elimu na Mawasiliano
Moja ya malengo ya msingi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ni kuongeza maarifa, uelewa na ushajiishaji wa umma kuhusu huduma zinazodhibitiwa za Mamlaka. Mpango Mkakati wa EWURA (2017/18-2023/24) unatilia mkazo zaidi kazi ya kuhabarisha na kushirikisha umma na wadau wake wakuu katika kutoa huduma zake.
Soma Zaidi: Sera ya Mawasiliano ya EWURA na Mkakati wa IEC- 2019
Views: 150