Tangazo Muhimu kuhusu LOIS

MATENGENEZO YA MFUMO WA LOIS

Mpendwa Mtumiaji wa LOIS

Tunatengemea kufanya matengezo ya mfumo wa ‘License and Order Information system’ (LOIS) ili kuweza kutoa huduma bora zaidi kwa watumiaji.

Hivyo basi, tunapenda kuwajulisha kuwa mfumo wa LOIS hautapatikana kuanzia  tarehe 20 july 2019 saa 6 :00 usiku mpaka 21 July 2019  saa 12:00 jioni ili kuruhusu matengezo ya mfumo huo.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Kwa msaada zaidi piga namba ya bure 0800110030 au barua pepe support@ewura.go.tz

Bofya haha kuendelea…

——————————

LOIS MAINTENANCE

Dear LOIS user:

Our License and Order Information system (LOIS) will undergo major maintenance in order to serve you better.

Therefore, this is to inform you all that LOIS will be out of service from 20 July 2019 at 00:00 pm to 21 July 2019 06:00 pm.  We apologize for any inconveniences

For any assistance, please call toll free 0800110030 or email support@ewura.go.tz

Click here to continue…

Hits: 23