Photo Gallery

Mkurugenzi wa Maji na Usafi wa Mazingira EWURA, Mhandisi Exaud Fatael aliyekaa (katikati) katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji kutoka Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira za Miji Mkuu ya Mikoa na Miradi ya Kitaifa, Mara baada ya Semina ya Siku mbili juu ya kuimarisha ubora wa maji safi na udhibiti wa Majitaka iliyofanyika katika Ofisi za EWURA, Dodoma.
EWURA’s Acting Director General Eng. Godfrey Chibulunje (left), networking with EWURA’s First Director General, Mr. Haruna Masebu and DAWASA CEO, Eng. Cyprian Luhemeja, during Board Audit Forum Conference in Arusha.
Manyara District Commisioner Hon. Elizabeth Kitundu (second right), EWURA’s Northern Zone Manager Eng. Lorivii Long’idu (Second left) in a group photo with some participants of the awareness seminar about EWURA to Manyara regional, District, ward, Mitaa and Village executive officers held in Manyara City Council.

Hits: 5184