Home

Welcome to EWURA

  • http://wowslider.com/
1 2 3 4 5
bootstrap carousel by WOWSlider.com v8.7

Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Majisafi na Majitaka Kutoka Mamalaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Njombe (Njombe WSSA) Kwa Mwaka 2019/20 – 2021/22

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 2 Mei 2019 kwenye ukumbi wa Turbo uliopo mjini Njombe kuanzia saa 3:00 asubuhi. Lengo la mkutano huo ni kwa ajili ya kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali na Baraza la Ushauri la watumia  Huduma  zinazodhibitiwa na EWURA, wateja wa Njombe WSSA na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa. Soma Zaidi:-

Mwito wa Maoni ya Wadau – Njombe WSSA

A Call for Stakeholders’ Views -Njombe WSSA

__________________________________________________________________________________________________________________________

Orodha ya Waombaji wa Leseni za  Umeme Waliopitishwa na Bodi Tarehe 22/3/2019 Kupewa Leseni

Bodi ya Wakurugenzi ya EWURA katika kikao chake cha tarehe 22/3/2019, imeidhinisha jumla ya waombaji 91 wa  leseni wa madaraja mbali mbali kupewa leseni ambazo  muda wake wa mwisho wa matumizi utakuwa  tarehe 21/3/2021.

Kwa tangazo hili, waombaji hawa wanatakiwa kufika ofisi za EWURA Makao Makuu – Dodoma au Ofisi za Kanda zilizo Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Arusha na Mwanza   kulipia ada za leseni hizo  ili waweze kuandaliwa   leseni zao. Soma Zaidi:- 

 Waliopitishwa Kupewa Leseni za Umeme

__________________________________________________________________________________________________

Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji Kutoka Mamlaka ya Majisafu na Usafi wa Mazingira ya Muheza WSSA Kwa Mwaka 2019/20 – 2021/22

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA Act) Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Ijumaa, tarehe 3 Mei 2019 katika ukumbi wa Tareku uliopo Muheza Mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi.

Lengo la mkutano huo ni kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali; Baraza la Ushauri la watumia  Huduma  zinazodhibitiwa na EWURA; wateja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Muheza na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa. Soma Zaidi:-

Mwito wa Maoni ya Wadau- Muheza WSSA

A Call for Stakehoders’ Views -Muheza WSSA

_______________________________________________________________________________________________________________

Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Majisafi na Majitaka Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Maganzo WSSA kwa Mwaka 2018/19

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, EWURA inaanzisha mchakato wa kupata maoni ya wadau ili kujua uhalali wa maombi ya marekebisho bei na ada kutoka  Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Maganzo. Soma Zaidi:-

Mwito wa Maoni ya Wadau Maganzo WSSA

A Call for Stakeholders’ Views  Maganzo WSSA

____________________________________________________________________________________________________________

Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Majisafi na Majitaka Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Tabora WSSA Kwa Mwaka 2018/19

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, EWURA inaanzisha mchakato wa kupata maoni ya wadau ili kujua uhalali wa maombi ya marekebisho bei na ada kutoka  Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tabora. Soma Zaidi:-

Mwito wa Maoni ya Wadau-Tabora WSSA

A Call for Stakeholders’ Views-Tabora WSSA

_____________________________________________________________________________________________________________

 

Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Majisafi na Majitaka Kutoka Mamalaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Kishapu WSSA) Kwa Mwaka 2018/19

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, EWURA inaanzisha mchakato wa kupata maoni ya wadau ili kujua uhalali maombi ya marekebisho bei na ada kutoka  Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kishapu. Soma Zaidi:-

Mwito wa Maoni ya Wadau Kishapu WSSA

A Call for Stakeholders’ Views Kishapu WSSA

____________________________________________________________________________________________________________

Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Majisafi na Majitaka Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Ngudu WSSA Kwa Mwaka 2018/19

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, EWURA inaanzisha mchakato wa kupata maoni ya wadau ili kujua uhalali wa maombi ya Marekebisho ya Bei za  Majisafi na Majitaka kutoka Mamlaka ya Majisafi na  Usafi wa Mazingira ya Ngudu (NGUDU WSSA) kwa Mwaka 2018/19. Soma Zaidi:- 

Mwito wa Maoni ya Wadau- Ngudu WSSA

A Call for Stakeholders’ Views Ngudu WSSA

________________________________________________________________________________________________

TAARIFA KWA UMMA: Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura Namba 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, wafuatao wameomba leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli. Soma zaidi:- Maombi ya Leseni

____________________________________________________________________________________________________________

Cap Prices For Petroleum Products With Effect From Wednesday 3th April 2019

The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) hereby publishes Cap Prices for petroleum products, applicable in Tanzania Mainland. These retail and wholesale prices are applicable effective Wednesday, 3rd April 2019. Read More:-

Cap Prices For Petroleum Products wef 3th April 2019

Bei Kikomo ya Mafuta Aina ya Petroli Kuanzia tar 3 April 2019

____________________________________________________________________________________________________________

Tanzania LSSP Database at March 2019

The Authority wishes to inform the petroleum industry operators, suppliers, service providers and the general public that it has updated the LSSP for the month of March 2019 with 334 local business entities:- Read More

Preamble for LSSP Database March 2019

LSSP March 2019

___________________________________________________________________________________________________________

Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji Kutoka Mamalaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Sumbawanga (Sumbawanga WSSA) Kwa Mwaka 2019/20 – 2021/22

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 18 Aprili 2019 katika Ukumbi wa Liboli Centre uliopo Sumbawanga Mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi. Lengo la mkutano huo ni kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la watumia huduma zinazodhibitiwa na EWURA, wateja wa Mamlaka ya Maji Sumbawanga, na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa. Soma Zaidi:-

Mwito wa Maoni ya Wadau- Sumbawanga WSSA

A Call for Stakeholders’ VIiews – Sumbawanga WSSA

________________________________________________________________________________________________________

 

Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Vwawa-Mlowo (Vwawa-Mlowo WSSA) Kwa Mwaka 2018/19 – 2020/21

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Jumanne, tarehe 16 Aprili 2019 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Vwawa uliopo Vwawa, Mbozi kuanzia saa 4:00 asubuhi. Lengo la mkutano huo ni kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la watumia huduma zinazodhibitiwa na EWURA, wateja wa Mamlaka ya Maji Vwawa-Mlowo, na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa. Soma Zaidi:-

Mwito wa Maoni ya Wadau- Vwawa Mlowo WSSA

A Call For Stakeholders’ Views-Vwawa Mlowo WSSA

_______________________________________________________________________________________________________________

PUBLIC NOTICE- An Invitation to a Public Inquiry on Changes to BPS Tender Modality and Review of Petroleum Pricing Rules

The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) has initiated a Public Inquiry with respect to Changes in BPS Tender Modality and Review of EWURA (Petroleum Products Price Setting) Rules as a recommended solution to the observed petroleum pricing challenges.

Stakeholders are hereby invited to a Public Hearing Meeting to be held on 10th April 2019 from 9:30am at NACTE Conference Hall located in Mikocheni Light Industrial Area, Dar es Salaam.

Read More:-

EWURA (Petroleum Products Price Setting) Rules 2019

Discussion Paper – Change of BPS Tenders and Review of Petroleum Price Setting Rules – March 2019

______________________________________________________________________________________________________________

TAARIFA KWA UMMA-Maombi ya Kubadili Umiliki wa Leseni na Jina la Kituo cha Mafuta

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi ya kubadili umiliki wa leseni na jina la kituo cha mafuta . Soma Zaidi:-

Maombi ya Kubadili Umiliki wa Leseni

Application for Transfer of Licence

______________________________________________________________________________________________________________

TAHADHARI KWA UMMA

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatoa tahadhari kwa umma dhidi ya onyo linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, likidai kwamba “kwa sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa yanayoambatana na joto kali, inashauriwa kuepuka kujaza pomoni petroli kwenye magari yao ili kujihadhari na uwezekano wa mlipuko”.Soma Zaidi:-TAHADHARI KWA UMMA

______________________________________________________________________________________________________________

Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya wa Makambako (“Makambako WSSA”) Kwa Mwaka 2018/19 – 2021/22

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 11 Aprili 2019, katika Ukumbi wa Green City, Mjini Makambako kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la watumia huduma zinazodhibitiwa na EWURA na wananchi wote kwa ujumla, kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa. Soma Zaidi:-

Mwito wa Maoni ya Wadau-Makambako WSSA

A Call for Stakeholders’ Views -Makambako WSSA

 

______________________________________________________________________________________________________________

TANGAZO KWA UMMA: Onyo Kwa Mafundi Umeme

TAARIFA inatolewa kwa mafundi wa umeme na umma kwa ujumla kuwa, ni kosa kisheria kufanya kazi za kuweka mifumo ya umeme (electrical installations) bila kuwa na leseni hai iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA).

ONYO hili linatolewa kwa mujibu wa Ibara  ya 7 (1) ya Sheria ya EWURA namba 414 na Ibara ya 8 ya Sheria ya Umeme namba 131. Soma Zaidi:-

Onyo-Mafundi Umeme

Warning-Electrical Installation Personnel

_____________________________________________________________________________________________________________

 

Call for Expression of Interest: Consultancy Services for Establishment of the National Petroleum and Gas Information System (NPGIS)

The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) invites Expression of Interest for  Provision of Consultancy Services for Establishment of the National Petroleum and Gas Information System (NPGIS). Expressions of Interests MUST be submitted on or before Thursday, 11th April, 2019 at 2.00 p.m.

Read More: Consultancy Services for NPGIS

______________________________________________________________________________________________________

EWURA Launches Annual Water Utilities Performance Reports for Year 2017/2018

The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA)  has launched the Annual  Water Utilities Performance Reports for the Regional, Districts, Small towns and National Projects  that provide comparative performance of respective WSSAs in Tanzania.

Read More:-

Regional and National Project Water Utilities Report

District and Township Water Utilities Report

_______________________________________________________________________________________________________________

Cap Prices For Petroleum Products With Effective From Wednesday 6th February 2019

The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) hereby publishes Cap Prices for petroleum products, applicable in Tanzania Mainland. These retail and wholesale prices are applicable effective Wednesday, 6th February 2019

Read More :- Cap Prices For Petroleum Products wef 6th February 2019

________________________________________________________________________________________

Cap Prices For Petroleum Products With Effective From Wednesday 6th February 2019

The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) hereby publishes Cap Prices for petroleum products, applicable in Tanzania Mainland. These retail and wholesale prices are applicable effective Wednesday, 6th February 2019

Read More:- Cap Prices For Petroleum Products wef 6th February 2019

__________________________________________________________________________________________

Cap Prices for Petroleum Products With Effective Wednesday, 2nd January,2019

The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) hereby publishes Cap Prices  for Petroleum products, applicable in Tanzania Mainland.These retail and wholesale prices are applicable effective Wednesday,2nd  January, 2019.

Please see attached for more details:-

Cap Prices wef 02 January 2019- KISWAHILI

Cap Prices wef 02 January 2019-ENGLISH

________________________________________________________________

 

Cap Prices For Petroleum Prices With Effective 05 December,2018

The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) hereby publishes Cap Prices for petroleum products, applicable in Tanzania Mainland. These retail and wholesale prices are applicable effective Wednesday,5th December, 2018.

Please see attached for more details:-

Cap Prices wef 05 December 2018-ENGLISH

Cap Prices wef 05 December 2018-KISWAHILI

_________________________________________________________

Cap Prices for Petroleum Products Effective Wednesday, 7th November 2018

The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) hereby publishes Cap Prices for petroleum products, applicable in Tanzania Mainland. These retail and wholesale prices are applicable effective Wednesday, 7th November, 2019.

Read More:-Cap Prices wef 07 November 2018-KISWAHILI

_______________________________________________________________________