Quality Policy
EWURA imedhamiria kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia:
a) Sheria ya EWURA, Sura Namba 414 na Sheria za Kisekta;
b) Sheria zingine husika, Sera, Miongozo na Maelekezo ya Serikali;
c) Taratibu na Miongozo ya Ndani;
d) Mkataba wa Huduma kwa Wateja; na
e) Uzoefu katika tasnia ya kiudhibiti.