Taarifa kwa umma – maombi ya leseni za kuzalisha umeme

Taarifa inatolewa kwa Umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi ya leseni za kuzalisha umeme kutoka Makampuni mablimbali. Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana na maombi hayo afanye mawasiliano kwa maandishi na EWURA. Kwa maelezo zaidi bofya hapo chini;

Attachment: TAARIFA KWA UMMA – MAOMBI YA LESENI ZA KUZALISHA UMEME

Visits: 89