TAARIFA KWA WAAGIZAJI NA WAUZAJI WA JUMLA WA MAFUTA YA VILAINISHI (LUBRICANTS)

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inapenda kuwakumbusha wadau wote katika sekta ndogo ya mafuta na wananchi wote kwa ujumla kuwa, Kanuni za Uendeshaji wa Biashara ya Mafuta ya Vilainishi (Lubricants) zilizochapishwa kwenye Gazeti la Serikali Namba 64/2014, mwaka 2014 zinawataka waagizaji wa vilainishi wawe na leseni za EWURA.

Taarifa Kwa Umma

_______________________________________________________________________

Visits: 292