TAARIFA KWA WAOMBAJI WA LESENI ZA UMEME (ELECTRICITY LICENCES APPLICANTS)

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inawatangazia waombaji wote wa leseni za ukandarasi wa umeme (electrical installation licences), leseni za uzalishaji umeme (electricity generation licences), na leseni za usambazaji umeme (electricity distribution licences) kwamba kuanzia tarehe 1/8/2017, waombaji wote wanaohitaji kufanya maombi ya leseni hizo watume maombi yao kwa njia ya mtandao, kwa kutumia mfumo unaoitwa Licensing and Order Information System (LOIS) ulioanzishwa na EWURA kwa kupitia https://lois.ewura.go.tz. Kwa maelezo zaidi fungua kiambatanisho hapo chini..

TANGAZO KUHUSU MFUMO WA LICENCE AND ORDER INFORMATION SYSTEM (LOIS)

MAELEZO KUHUSU MFUMO WA LICENCE AND ORDER ORDER INFORMATION SYSTEM (LOIS)

BRIEF DESCRIPTION ON LICENCE AND ORDER INFORMATION SYSTEM (LOIS)

_______________________________________________________________

Views: 10681