TAARIFA KWA UMMA-Ufafanuzi Kuhusu Upangaji wa Bei za Mafuta

Moja ya majukumu ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) katika kudhibiti sekta ndogo ya mafuta ni pamoja na kushamirisha ushindani kwa kuweka mizania sawa ya ushindani; na kumlinda mtumiaji wa huduma. Katika kutimiza jukumu hili, EWURA hukokotoa bei kikomo za mafuta kwa nchi nzima ambazo hutangazwa kila Jumatano ya kwanza ya mwezi.

Bei za mafuta zinaweza kuwa tofauti  katika baadhi ya maeneo kutokana na sababu mbalalimbali -:

Soma Zaidi:TAARIFA KWA UMMA -Ufafanuzi Kuhusu Upotoshwaji wa Bei za Mafuta

_______________________________________________________________________________

Visits: 179

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *