Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura Namba 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kuwa mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni  kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili. Soma Zaidi:-

Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Hits: 988

One thought on “Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

  1. Bwaba Thomson,
    Utaratibu ni kujenga kituo cha mafuta cha bei nafuu maeneo ya vijijini ili biashara ifanyike kwa kuzingatia sheria na kanuni za uuzaji bidhaa za mafuta. Kwa maelezo zaidi 0800110030.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *