EWURA yatangaza bei Mpya za Mafuta kwa mwezi Oktoba, 2019

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 2 Oktoba 2019.

 

 

 

Views: 3041

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *