Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura Namba 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, wafuatao wameomba leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.

Read More:- Maombi ya Leseni

Visits: 737

2 thoughts on “Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

  1. Nashukuru Sana ila nauliza hivi leaeni ya jumla ya vilainishi Ina maanisha nini yaani hivi vilainishi ni kama mini je patrol na diesel ni vilainishi pia. Shukran

    1. Bwana Muhammad,
      Vilaini vipo vya aina mbalimbali ambavyo hutumika kulainisha mitambo,mashine,injini na viunganishi mablimbali. Petroli na dizeli ni vimiminika.
      Karibu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *