Katika siku za hivi karibuni, kumekuwapo na ushamiri wa uuzwaji mafuta hasa ya Petroli na Dizeli katika maeneo yasiyoruhusiwa (nje ya vituo vya mafuta) pasipo kuzingatia masuala ya usalama na mazingira ( Health, Safety and Environment) katika jiji la Dar es Salaam.
Soma Zaidi:ONYO- Uuzaji Mafuta Kiholela
Views: 481