EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta Kuanzia 6 Mei 2020

Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/

Visits: 5654

4 thoughts on “EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta Kuanzia 6 Mei 2020

    1. Ndugu Enock, bei ya mafuta hupangwa na soko kwa maana kwamba mafuta yanapotoka, ikiwa bei ipo juu kidogo, jumlisha uafiri na kodi mbalimbali ndio hutoa bei halisi ya kipindi husika. EWURA inasaidia kuhakikisha kuwa walaji (kwa maana watumiaji wa mafuta) wanapata bidhaa kwa bei stahiki na vilevile wafanyabiashara wanapata faidia ili waweze kuendelea na biashara na sambamba na hayo, serikali inapata kodi ili iweze kutekeleza miradi ya maendeleo. Uwepo wa EWURA umesaidia kuhakikisha bei haziyumbi na utaratibu unafutwa. Unaweza kujua bei ya mafuta popote pale ulipo kwa kutumia simu yako ya mkononi kwa kupiga *152*00#; kisha namba 4, chagua bei ya mafuta na fuata maelekezo kwa kuchagua herufi ya kwanza ya mkoa na wilaya uliyopo na usubiri kidogo kupata ujumbe wa bei.
      Kwa maelezo zaidi unaweza kupiga 0800110030-Bure (muda wa kazi).
      Karibu

  1. Jaman EWURA tunaomba mtupunguzie bei ya mafuta maisha ni magumu sana sisi boda tutakula wapi maana tunategemea mafuta ili tuweze kuendesha familia zetu sasa mnapopamdisha mafuta kias hicho ndo chanz cha vijana weng kuingia kweny vitendo viovu ukiongea mafuta bx unakuwa umemgusa kila mtu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *