Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo mpya za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Tangazo hili linasitisha bei zilizotangazwa kupitia tangazo na. PPR/21-09/1 la tarehe 01 Septemba, 2021. Hivyo basi, bei bidhaa za mafuta zitaendelea kutumika zilizotangazwa Jumatano 04, Agosti 2021 kuanzia leo Alhamis, tarehe 02 Septemba 2021.
Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/
Hits: 4787
Kujua bei za mafuta kila wakati
Ndugu Mary,
Kujua bei kila wakati, popote ulipo kiganjani mwako piga *152*00#, chagua namba 4, chagua Nishati, kisha bei za mafuta. Endelea kufuata maekezo na mwisho utapata ujumbe wa bei.
Asante