Mwito wa Maoni:-Maombi ya Leseni kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Rombo

TAARIFA inatolewa kwa umma kuwa, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inakaribisha maoni kutoka kwa wananchi juu ya maombi ya leseni kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Rombo (Rombo WSSA).

Soma Zaidi:-

Visits: 314

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *