TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: Serikali yapunguza Tozo ili kudhibiti Ongezeko la bei ya Mafuta nchini

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatoa taarifa kwa umma juu ya tozo ambazo Serikali imepunguza kwa ajili ya kukabiliana na ongezeko kubwa la bei za mafuta hapa nchini kuanzia tarehe 6 Oktoba 2021.

Soma Zaidi:-Taarifa kwa Vyombo vya Habari -Bei za Mafuta 05.10.2021

 

Visits: 2061

One thought on “TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: Serikali yapunguza Tozo ili kudhibiti Ongezeko la bei ya Mafuta nchini

  1. jamani Mimi naitwa lwenge magoma Niko kakubilo mkoa wa geita wilaya ya geita halmashauri ya nzera, naomba kufahamu namna na utaratibu na jinsi mafuta yanavyopanda na kushuka maana tulitangaziwa kushuka kwa bei za mafuta baada ya serikali kupunguza tozo kwenye baadhi ya taasisi ili kutoa unafuu kwa watumiaji lakini cha ajabu huku kwetu mafuta yamepanda kutoka 2592 mpaka kufikia 2604 na mbaya zaidi sheli za huku hata hazitoi rist ukiwaomba risit wanakwambia mtandao leo unasumbua rist hazitoki, swali langu kwa EWURA ni kwamba mafuta yameshuka kwa mikoa gani tu, na je mkoa wa geita unachukulia mafuta kutoka bandari gani ambayo haijahusika kwenye kupunhuziwa bei

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *