Mwito wa Maoni: Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Petroli

EWURA inatoa mwito wa maoni kuhusu maombi ya leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli. Hivyo basi, mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni hapo juu kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwasilisha maoni kwa EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili.

Soma Zaidi:-Mwito wa Maoni-Maombi ya Leseni

Visits: 49

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *