Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua Ripoti ya Utendaji ya Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira za Miji Mikuu ya Mikoa, Miradi ya Kitaifa, Makao Makuu ya Wilaya na Miji Midogo kwa mwaka 2020/21. Ripoti iliyozinduliwa na Mhe. Rais imeanisha kwa kina maendeleo na utendaji wa Mamlaka za Maji kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Soma Zaidi:- https://www.ewura.go.tz/sector-performance-reports/
Hits: 139