NOTICE is hereby issued to the public that the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) has received an application for electricity generation from Maweni Limestone Limited, and hereby invites the public to provide comments and or objections on the same.
Read More:-Public Notice – Maweni Limestone Limited
Views: 523
Ninaomba lesen class c
Ndugu Owiti,
Jisjili kupitia https://lois.ewura.go.tz/ewura/ kufanya maombi. Hakikisha unakuwa na ‘soft copy’ ya nakala ya vyeti, wasifu (CV) na picha ndogo (passport) yenye kivuli cha bluu.
Karibu
Habari,
Naitwa JIMMY ANANIA KYANDO nimeomba lesseni toka mwezi wa 9/2022 na nilishalipa application fee.. Ila ni kimya mpka leo. Hii jan 17 2023 . ELINC/2022/0725.
Swali langu lingine je? Kama lessen ikiwa printed kuna kiasi cha cha pesa napaswa kukilipa tena ili kupata lesseni yangu?
Ndugu Jimmy;
Kwa leseni zilizotolewa kabla ya mwezi Aprili 2022; utalipia gharama ya leseni kwa daraja husika.
Karibu