TANGAZO: Agizo la Kisheria kwa Mafundi Umeme wenye Leseni

EWURA inawakumbusha Mafundi Umeme wote kufanya kazi kwa mujibu wa Kanuni za Umeme (Huduma za Ufungaji wa Mifumo ya Umeme) ya mwaka 2022 hususani Kanuni za 15, 16 na 17.

Soma Zaidi:-Tangazo kwa Mafundi Umeme

Visits: 317

5 thoughts on “TANGAZO: Agizo la Kisheria kwa Mafundi Umeme wenye Leseni

  1. Ndugu Juma,
   Tafadhali, tunaomba kufahamu leseni uliomba lini na upo mkoa gani?
   Tunakushauri kutuma namba yako ya maombi na namba ya simu kwa ufuatiliaji zaidi.
   Karibu.

 1. Mimi naomba kuuliza wengine hatuna hizo lesen za ewura na ukiangalia asilimia kubwa ya mafundi hiyo lesen hatuna je unatusaidiaje kwa hali hiyo???

 2. Na pengine ili kupata hiyo lesen what are the terms and condition, Because others we need ewura certificate but where can we get any introduction of how to get it

  1. Ndugu Anthony,
   Utaratibu wa kuomba leseni ni kwa njia ya mtandao kupitia mfumo wa LOIS ulipo katika tovuti ya EWURA. Unaweza kuingia kwenye mfumo kwa kiunganishi https://lois.ewura.go.tz/ewura/ ambapo utatakiwa kujisajili na kuendelea kufanya maombi. Unapaswa kuwa na cheti, kitambulisho(taifa,leseni ya udereva au cha kura), picha ya pasipoti yenye kivuli cha bluu na wasifu wako (CV) inayoonesha kazi ulizofanya.
   Gharama ya leseni ni shs. 150,000/ kwa daraja A,B ,S1,S2 na shs.50,000/ kwa daraja C,D,S3 na W.
   Karibu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *