TAARIFA KWA UMMA : Mwito wa Kutoa Maoni kuhusu Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, imepokea maombi ya  leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.

Soma Zaidi:-Mwito wa Maoni-Maombi ya Leseni Sekta ya Mafuta ya Petroli

Hits: 325

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *