TAARIFA KWA UMMA : Bei Kikomo za Bidhaa za Petroli kuanzia Jumatano, Agosti 2, 2023

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe 2 Agosti 2023 saa 6:01 usiku.

Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/

Visits: 16711

15 thoughts on “TAARIFA KWA UMMA : Bei Kikomo za Bidhaa za Petroli kuanzia Jumatano, Agosti 2, 2023

 1. Jamani huu uhaba wa Mafuta hamuoni wananchi tunateseka sana. Mazao yatapanda bei chakula UNGA bei juu hebu kuweni ñ huruma. Nyinyi mishahara ni mikubwa sisi tunabaki kulia tu.

 2. Hivi huu utaratibu wa kuzuia kuweka mafuta kwenye vidumu mbona umekuwa ni kama adhabu kwetu?
  Mfano gari langu limeisha mafuta nikiwa umbali kidogo na kituo cha mafuta itakuwaje? Watu wa pikipiki wanaweza kukokota, wa gari je!

  1. Ndugu Mohamed;
   Yapo madumu maalum ya kubebea vimiminika aina ya petroli hususani kwa nyakati za dharura kama hizo. Si kila dumu lkinafaa kubebea mafuata aina ya petroli kwani ni hatari kwa afya, ubora wa mafuta na mazingira. Kuepuka yote hayo,unashauriwa kuwa na desturi ya kujaza mafuta kwenye gari yako kabla ya kwisha kabisa ili kuendelea kutunza injini ya gari yako.
   Karibu

 3. Ukasema et hakuna UHABA..mngekuwa active mngejua..Ila kwasababu mnajaziwa tu mafuta mtajuaje tunayopitia.kaliua hakuna sheli inauza mafuta…yapo yamchongo…hakina tamko.hakuna jitihada yoyote..kiurahis unakoment hakina uhaba…kaaah…kwajitihada gani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *