TANGAZO: Mnada wa Hadhara Juni 2024

EWURA inawatangazia wananchi wote kuwa itauza kwa njia ya mnada wa hadhara samani na vifaa mbalimbali chakavu katika ofisi yake ya Kanda ya Mashariki-Dar es salaam , Jengo la PSSSF Millenium Tower-Makumbusho sehemu ya maegesho ya magari chini (Basement 1) jijini Dar es Salaam

Soma Zaidi:-Mnada wa Hadhara Juni 2024

Visits: 136

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *