Kanuni za Maadili

Kanuni za Maadili

Kanuni hizi za Maadili za EWURA (Code of Conduct – 2018 GN – 441) zinatoa mwongozo wa mwenendo unaopaswa kufuatwa na wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi na wafanyakazi katika kutekeleza majukumu yao. Kanuni hizi zinaweza kufanyiwa marekebisho itakapohitajika.

Visits: 92