Umeme | Miundombinu ya Umeme | Leseni na Usajili| Nyenzo za udhibiti | Mikataba ya Ununuzi wa Umeme | Utii (Ufuasi) wa Sheria| Utatuzi wa Malalamiko na Migogoro
Taarifa za Jumla
Vifungu vya 5 na 6 vya Sheria ya Umeme, Sura ya 131, vinaipa uwezo Mamlaka kutekeleza majukumu ya udhibiti wa kiufundi na kiuchumi wa sekta ya umeme kwa Tanzania Bara ili kulinda maslahi endelevu ya wadau na watoa huduma. EWURA hutoa leseni, husimamia ubora, usalama na ufanisi wa huduma; na, huidhinisha viwango na tozo, mikataba ya ununuzi wa umeme, kwa lengo la kushamirisha ushindani na kukuza uchumi.
Views: 3166