Umeme Utii wa Sheria

Umeme | Miundombinu ya Umeme | Leseni na UsajiliNyenzo za udhibiti | Mikataba ya Ununuzi wa Umeme | Utii (Ufuasi) wa Sheria| Utatuzi wa Malalamiko na Migogoro

Utii (Ufuasi) wa Sheria

Kifungu cha 31 cha Sheria ya Umeme, Sura ya. 131 kinaipa Mamlaka uwezo wa kusimamia na kutathmini ufuasi wa matakwa ya Sheria ya Umeme. Kifungu cha 30 (1) cha Sheria hiyo, kinaitaka Mamlaka kuandaa mifumo na utaratibu wa kusimamia na kupima utendaji wa watoa huduma. Pia, kifungu cha 15 (4) kinawataka watoa huduma kuwasilisha kwa Mamlaka, taarifa za utekelezaji wa majukumu yao.

(a) Compliance Monitoring.

  • 2016-17 Report
  • 2017-18 Report.
  • 2018-19 Report

(b) Compliance Orders.

Visits: 107