Mikataba ya ununuzi wa umeme

Umeme | Miundombinu ya Umeme | Leseni na UsajiliNyenzo za udhibiti | Mikataba ya Ununuzi wa Umeme | Utii (Ufuasi) wa Sheria| Utatuzi wa Malalamiko na Migogoro

Mikataba ya ununuzi wa umeme

Kifungu cha 25 cha Sheria ya Umeme Sura Na. 131 kinaipa Mamlaka uwezo wa kuidhinisha Mikataba ya Ununuzi wa Umeme (PPAs). Hivyo, EWURA imetengeneza Mikataba wianishi ya miradi midogo ya umeme yenye kiwango cha hadi megawati 10. Pia, Mamlaka imeandaa Mikataba Mfano ya Ununuzi wa Umeme kuanzia megawati kumi na kuendelea, kwa teknolojia mbalimbali ikiwamo maji, jua, upepo, tungamotaka, gesi asilia, makaa ya mawe na mafuta, ili kutoa mwongozo kwa pande mbili za mkataba wakati wa kufanya majadiliano ya awali kabla ya makubaliano.

(a) Standardized Power Purchase Agreement

  • Standardized Power Purchase Agreement for Small Power Projects

(b) Model Power Purchase Agreement

Views: 288