Mwito wa Maoni ya wadau Kuhusu Marekebisho ya Bei ya Majisafi na Majitaka Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kibaigwa.

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 16 Mei, 2019, katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Saint Pio, Kibaigwa Mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la watumia huduma zinazodhibitiwa na EWURA na wananchi wote kwa ujumla, kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa. Soma zaidi;-

Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Marekebisho ya Bei za Maji – Kibaigwa WSSA

A Call For Stakeholders’ Views Kibaigwa WSSA

____________________________________________________________________________________________________________

Visits: 27