Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 2 Mei 2019 kwenye ukumbi wa Turbo uliopo mjini Njombe kuanzia saa 3:00 asubuhi. Lengo la mkutano huo ni kwa ajili ya kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali na Baraza la Ushauri la watumia Huduma zinazodhibitiwa na EWURA, wateja wa Njombe WSSA na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa. Soma Zaidi:-
Mwito wa Maoni ya Wadau – Njombe WSSA
A Call for Stakeholders’ Views -Njombe WSSA
__________________________________________________________________________________________________________________________
Hits: 36