Bodi ya Wakurugenzi ya EWURA katika kikao chake cha tarehe 22/3/2019, imeidhinisha jumla ya waombaji 91 wa leseni wa madaraja mbali mbali kupewa leseni ambazo muda wake wa mwisho wa matumizi utakuwa tarehe 21/3/2021.
Kwa tangazo hili, waombaji hawa wanatakiwa kufika ofisi za EWURA Makao Makuu – Dodoma au Ofisi za Kanda zilizo Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Arusha na Mwanza kulipia ada za leseni hizo ili waweze kuandaliwa leseni zao. Soma Zaidi:-
Waliopitishwa Kupewa Leseni za Umeme
__________________________________________________________________________________________________
Hits: 292