TAARIFA KWA UMMA : Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Marekebisho ya Bei za Maji Safi na Majitaka Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Magu.

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 9 Mei, 2019, katika Ukumbi wa CCM, Magu Mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la watumia Huduma zinazodhibitiwa na EWURA na wananchi wote kwa ujumla, kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.Soma zaidi:-

Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Marekebisho ya Bei za Maji – Magu WSSA.

A Call For Stakeholders’ Views Magu WSSA

____________________________________________________________________________________________________________

 

Visits: 37