TAARIFA KWA UMMA : Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta Aina ya Petroli Kuanzia Jumatano Tarehe 01 Mei 2019

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 1 Mei 2019.Read More;-

Bei Kikomo ya Bidhaa za Mafuta Aina ya Petroli Kuanzia Tarehe 01 Mei 2019 Cap-Prices-wef-01-May-2019-01

Cap Prices wef 01 May 2019

___________________________________________________________________________________________________________

Visits: 51