TAARIFA KWA UMMA : Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Marekebisho ya Bei za Maji Kutoka Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Kilindoni WSSA

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 23 Mei 2019, katika Ukumbi Magereza Kilindoni – Mafia kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la watumia huduma zinazodhibitiwa na EWURA na wananchi wote kwa ujumla, kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.

Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Marekebisho ya Bei za Maji Kilindoni WSSA

A Call For Stakeholders Views Kilindoni WSSA

Hits: 28