Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei ya Huduma za Maji Kutoka Mamalaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Mji wa Igunga (“Igunga WSSA”) Kwa Mwaka 2019/20 – 2021/22

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 13 Juni 2019, katika Ukumbi wa Sakao Modern Mjini Igunga kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la watumia huduma zinazodhibitiwa na EWURA na wananchi wote kwa ujumla, kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa. Soma Zaidi:-

Mwito wa Maoni ya Wadau- Igunga WSSA

A Call for Stakeholders Views-Igunga WSSA

___________________________________________________________________________________

Visits: 19