Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Marekebisho ya Bei Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro.

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Jumatano, tarehe 10 Julai, 2019, katika Ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.

Mwito wa Maoni ya Wadau Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro.

A Call for Stakeholders’ Views on the Tariff Application – Morogoro WSSA

 

Visits: 80

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *