Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Mji wa Chamwino WSSA Kwa Mwaka 2019/20 – 2021/22

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 4 Julai, 2019, katika Ukumbi wa Serikali ya Kijiji cha Chamwino kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la watumia Huduma zinazodhibitiwa na EWURA na wananchi wote kwa ujumla, kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.Soma Zaidi:-

Mwito wa Maoni ya Wadau Chamwino WSSA For 2019-2022

A Call for Stakeholders’ Views For Chamwino WSSA for Year 2019-2022

Visits: 99

One thought on “Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Mji wa Chamwino WSSA Kwa Mwaka 2019/20 – 2021/22

  1. tangazo la chamwino linapaswa kuwa limeshatoka kwa kuwa mwisho wa kuleta maoni iliandikwa ni tarehe 11.7.2019

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *