Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Jumanne, tarehe 23 Julai 2019, katika Ukumbi wa Polisi Club, Mjini Mpanda kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la watumia huduma zinazodhibitiwa na EWURA na wananchi wote kwa ujumla, kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa. Soma Zaidi:-
Mwito wa Maoni ya Wadau- Mpanda WSSA
A Call For Stakeholders’ Views-Mpanda WSSA
Hits: 191