Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebishoya Bei za Maji Kutoka Mamalaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Tunduru WSSA Kwa Mwaka 2019/20 – 2021/22

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Jumatano, tarehe 14 Agosti 2019 katika Ukumbi wa Klasta uliopo Tunduru Mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi. Lengo la mkutano huo ni kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la watumia huduma zinazodhibitiwa na EWURA, wateja wa Mamlaka ya Maji Tunduru, na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa. Soma Zaidi:-

Mwito wa Maoni ya Wadau-Tunduru WSSA

A Call For Stakeholders’ Views-Tunduru WSSA

 

Visits: 666

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *