TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi ya leseni ya kuzalisha umeme kutoka kwa Kampuni ya Mwenga Hydro Limited. EWURA inakaribisha maoni na/au pingamizi kuhusiana na maombi haya.
Soma zaidi ;-Maombi ya Leseni ya Kuzalisha Umeme
Views: 318