Bei Kikomo za Mafuta Aina ya Petroli Kuanzia Jumatano 6/11/2019

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 6 Novemba 2019.

Soma Zaidi:- Bei za Mafuta Kuanzia Tar 06 Novemba 2019 – Kiswahili

Cap Prices wef 06 November 2019 – English

Visits: 1191

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *