TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi ya leseni ya kuzalisha umeme kutoka kwa Kampuni ya Jacana Resources (Tanzania) Limited. EWURA inakaribisha maoni na/au pingamizi kuhusiana na maombi haya.
Soma Zaidi:-Provisional Electricity Licence Application
Maombi ya Leseni ya Kuzalisha Umeme
Views: 313