Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 4 Desemba 2019.
Soma zaidi:-Bei Kikomo za Bidhaa Mafuta ya Petroli Kuanzia Jumatano, Tar 4 Desemba 2019 – Kiswahili
Cap Prices wef 04 December 2019 – English
Hits: 1417