Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura Namba 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, wafuatao wameomba leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.

Soma zaidi :- Maombi ya Leseni ya Petroli

Hits: 571

3 thoughts on “Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

  1. Bwana Mhagama,
   Maombi hufanyika kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi LOIS, katika kipengele cha Online Services. Unapaswa kuwa na picha yenye kivuli cha bluu, vyeti vya elimu ya ufundi na wasifu wako (CV) vyote vikiwa katika nakala laini yaani soft copy.
   Endapo utapata changamoto yoyote namna ya kutumia mfumo tupigie 0800110030 bure.
   Karibu

  2. Bwana Mhagama,
   Maombi ya leseni ji kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi https://lois.ewura.go.tz/ewura/.
   Unapaswa kuwa na vyeti vya elimu ya ufungaji umeme kuanzia ngazi ya cheti; vyeti vilivyothibitishwa, picha (pasipoti) yenye kivuli cha bluu na wasifu wako; vyote vikiwa katika nakala laini kabla ya kuanza kufanya maombi.
   Mawasiliano zaidi piga 0800110030 (bure.
   Karibu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *