Bwana Lazaro,
Maombi ya leseni hufanyika kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi https://lois.ewura.go.tz/ewura/ katika tovuti yetu. Hata hivyo hukueleza unahitaji leseni ya huduma gani.Tafdhali fafanua ili upate msaada sahihi.
Karibu
Bwana Joseph,
Maombi ya leseni hufanyika kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi https://lois.ewura.go.tz/ewura/ katika tovuti. Unapaswa kuwa na vyeti vyako, wasifu (cv) na picha yenye kivuli cha bluu. Vyote vikiwa katika nakala laini (soft copy).
Fungua kiungnishi https://lois.ewura.go.tz/ewura/ na ujisajili. Endelea kufuata maelekezo na ujaze fomu.
Karibu.
Bwana Kinunda,
Kwa mujibu wa Mkataba wetu wa Huduma kwa Mteja, leseni hutolewa ndani ya siku 30 za kazi. Hata hivyo,kuna baadhi ya masuala yanayowezesha kufanya leseni kuchelewa kidogo kutokana na kuchelewa kupata uthibitisho kutoka chuo ulichosoma; kigezo ambacho ni muhimu katika kufanya tathmini ya utoaji leseni.
Karubu
Naomba kusaidiwa kupata leseni nifanyeje
Habari Lazaro
Karibu
Unataka leseni ya aina gani?
Bwana Lazaro,
Maombi ya leseni hufanyika kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi https://lois.ewura.go.tz/ewura/ katika tovuti yetu. Hata hivyo hukueleza unahitaji leseni ya huduma gani.Tafdhali fafanua ili upate msaada sahihi.
Karibu
Habari wa kuu napenda kujua hatua za kupata leseni ya umeme nina cheti cha veta level 2 hatuanizipi?
Bwana Joseph,
Maombi ya leseni hufanyika kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi https://lois.ewura.go.tz/ewura/ katika tovuti. Unapaswa kuwa na vyeti vyako, wasifu (cv) na picha yenye kivuli cha bluu. Vyote vikiwa katika nakala laini (soft copy).
Fungua kiungnishi https://lois.ewura.go.tz/ewura/ na ujisajili. Endelea kufuata maelekezo na ujaze fomu.
Karibu.
Naomba kujua ukiomba lesen unasubiri muda gan?
Bwana Kinunda,
Kwa mujibu wa Mkataba wetu wa Huduma kwa Mteja, leseni hutolewa ndani ya siku 30 za kazi. Hata hivyo,kuna baadhi ya masuala yanayowezesha kufanya leseni kuchelewa kidogo kutokana na kuchelewa kupata uthibitisho kutoka chuo ulichosoma; kigezo ambacho ni muhimu katika kufanya tathmini ya utoaji leseni.
Karubu
Forwarded your complain to the concerned team