TAARIFA KWA UMMA: Maombi ya Kubadili Umiliki wa Leseni na Jina la Kituo cha Mafuta Muro Investment Co Ltd

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi ya kubadili umiliki wa leseni na jina la kituo cha mafuta cha Muro Investment Co. Ltd – Miwaleni Petrol Station kuwa GP Global Energy Services (T) Ltd – Miwaleni. Hivyo Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya mabadiliko ya umiliki na jina la leseni tajwa, afanye hivyo kwa maandishi na kuwasilisha EWURA ndani ya siku kumi na nne toka tarehe ya tangazo hili.

Soma zaidi;- Maombi ya kuhamisha umiliki wa leseni

Visits: 140

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *