TAARIFA KWA UMMA : Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura Namba 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, wafuatao wameomba leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli. Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni hapo juu kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku  kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili kupitia anwani tajwa hapo juu.

Soma zaidi ;- Maombi ya leseni

Visits: 95

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *