EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta kuanzia Juni 3, Juni 2020

Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/

Visits: 5566

7 thoughts on “EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta kuanzia Juni 3, Juni 2020

  1. Sisi wa ruvuma tunaomba ufafanuzi kwanini mafuta hayashuki je ss siyowatanzania? Umbali kutoka dar kwenda songea ni km 960 kupitia moro na umbali kutoka dar to kagera karagwe ni km 1600 salsa vigezogani vinatumika mafuta yameshuka duniani yanakozalishwa je ruvuma mafuta yanatoka wapi

  2. Wakati Dar es Salaam na tanga petrol inauzwa 1520 kwa Lita hapa mkoa was Lindi, Liwale tunanunua petrol 2150 Leo kwa Lita nikweli gharama za usafilishaji kuyafikisha inafika 500 kwa Lita! Au tunaibiwa? Tunaomba
    ufafanuzi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *