Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura Namba 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, wafuatao wameomba leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli. Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili.
Soma Zaidi:-Maombi ya Leseni Sekta ya Mafuta ya Petroli
Views: 562
Maombi ya lessen ya uuzaji wa mafuta ya petrol na diesel
Maombi ya lessen lessen ya uuzaji wa mafta ya petrol na diesel
Maombi hufanyika kupitia mfumo wa kieletroniki unaitwa LOIS.Tafadhali ingia katika website yetu na kubofya LOIS, kujisajili na kuendelea kufanya maombi. Unaweza pia kutumia kiunganishi hiki—https://lois.ewura.go.tz/ewura/
Karibu.