EWURA imepokea maombi ya leseni ya kuzalisha umeme kutoka kwa Kampuni ya Luponde Hydro. Yeyote mwenye maoni na/au pingamizi kuhusiana na maombi haya awasilishe kwa maandishi kupitia anwani ya Notisi hii ndani ya siku ishirini na moja (21) tangu siku ya kutolewa kwa tangazo hili. Soma Zaidi:-
Maombi ya Leseni ya Kuzalisha Umeme-Luponde
Electricity Generation Licence Application -Luponde
Views: 404